sw_tn/ezk/37/07.md

443 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli ananena

kama nilivyokuwa nimeamuru

"kama yahwe alivyokuwa ameniamuru kunena."

tazama

Neno "tazma" hapa linaonyesha kwamba ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

mishipa

Hii inarejea kwa sehemu za binadamu ambazo ni kama gidamu ngumu na kushika mifupa na misuli pamoja.

Lakini hapakuwa na pumzi juu yao

Hapa "pumzi" inarejea kwa tendo la kupumua. "lakini hawakuwa wanapumua" au "hawakuwa hai"