sw_tn/ezk/37/07.md

20 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Ezekieli ananena
# kama nilivyokuwa nimeamuru
"kama yahwe alivyokuwa ameniamuru kunena."
# tazama
Neno "tazma" hapa linaonyesha kwamba ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.
# mishipa
Hii inarejea kwa sehemu za binadamu ambazo ni kama gidamu ngumu na kushika mifupa na misuli pamoja.
# Lakini hapakuwa na pumzi juu yao
Hapa "pumzi" inarejea kwa tendo la kupumua. "lakini hawakuwa wanapumua" au "hawakuwa hai"