sw_tn/ezk/36/37.md

12 lines
275 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.
# kuwaongeza kama kundi la watu
"kuwafanya kama kundi la kondoo." Kondoo huongezeka haraka. kuwafanya watu kuongezeka haraka kama kondoo."
# watajua kwamba mimi ndimi Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.