sw_tn/ezk/36/37.md

275 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.

kuwaongeza kama kundi la watu

"kuwafanya kama kundi la kondoo." Kondoo huongezeka haraka. kuwafanya watu kuongezeka haraka kama kondoo."

watajua kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.