sw_tn/ezk/36/13.md

723 B

Maelezo ya Jumla:

Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa milima ya Israeli.

wanakwambia

"mataifa mengine yanakwambia milima"

Umewala watu

"Umewafanya watu wangu kufa." Neno "ume" ni umoja na linarejea kwa "nchi ya Israeli."

watoto wako wa taifa wamekufa

"umewafanya watoto wa watu wako kufa." Hii inaonyesha kwamba milima hufanya hivi kwa kuacha kuotesha mbegu nzuri.

Hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

Wala sintokuruhusu kusikiliza fedhiha za mataifa tena

"sitayaruhusu mataifa mengine tena kukufedhehesha."

hautachukua tena aibu ya watu

"watu hawatakusababisha kujisikia aibu"

au kufanya taifa lako kuanguka

"na ninyi milima fanyeni taifa lenu lishinde"