sw_tn/ezk/36/13.md

32 lines
723 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa milima ya Israeli.
# wanakwambia
"mataifa mengine yanakwambia milima"
# Umewala watu
"Umewafanya watu wangu kufa." Neno "ume" ni umoja na linarejea kwa "nchi ya Israeli."
# watoto wako wa taifa wamekufa
"umewafanya watoto wa watu wako kufa." Hii inaonyesha kwamba milima hufanya hivi kwa kuacha kuotesha mbegu nzuri.
# Hili ndilo tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# Wala sintokuruhusu kusikiliza fedhiha za mataifa tena
"sitayaruhusu mataifa mengine tena kukufedhehesha."
# hautachukua tena aibu ya watu
"watu hawatakusababisha kujisikia aibu"
# au kufanya taifa lako kuanguka
"na ninyi milima fanyeni taifa lenu lishinde"