sw_tn/ezk/34/28.md

16 lines
332 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.
# mateka
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 7:20.
# sehemu ya kupanda nzuri
"bustani watakayo kuwa katika amani" au bustani ambayo itakuwa mashuhuri"
# angamia kwa njaa
"njaa" au "au kuangamia kwa sababu ya ukosefu wa chakula: