sw_tn/ezk/34/28.md

332 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Israeli.

mateka

Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 7:20.

sehemu ya kupanda nzuri

"bustani watakayo kuwa katika amani" au bustani ambayo itakuwa mashuhuri"

angamia kwa njaa

"njaa" au "au kuangamia kwa sababu ya ukosefu wa chakula: