sw_tn/ezk/34/14.md

765 B

Maelezo ya Juma:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli

sehemu za malisho yao

"mahali ambapo wanaweza kula"

malisho mazuri

nchi zenye majana mengi na mimia

malisho

kula majani na mimea mingine

mimi mwenyewe

Neno "mimi mwenyewe" linaongeza msisitizo. Mungu atafanya hivi kwa sababu wachungaji hawakuwa wanafanya sahihi.

watalisha

"watalisha na kuwaangalia"

watawafanya kulala chini

"watawaacha walale chini"

hili ni tangazo la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

waliopotea

"wale waliopotea." "kondoo yeyote au mbuzi aliyepotea"

rudisha waliopotea

"kuwarudisha wale waliokuwa wamefukuzwa mbali"

funga kondoo aliyevunjika

"zungusha nguo kwa kondoo yeyote aliyevunjika mfupa"