sw_tn/ezk/34/14.md

44 lines
765 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Juma:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli
# sehemu za malisho yao
"mahali ambapo wanaweza kula"
# malisho mazuri
nchi zenye majana mengi na mimia
# malisho
kula majani na mimea mingine
# mimi mwenyewe
Neno "mimi mwenyewe" linaongeza msisitizo. Mungu atafanya hivi kwa sababu wachungaji hawakuwa wanafanya sahihi.
# watalisha
"watalisha na kuwaangalia"
# watawafanya kulala chini
"watawaacha walale chini"
# hili ni tangazo la Bwana Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# waliopotea
"wale waliopotea." "kondoo yeyote au mbuzi aliyepotea"
# rudisha waliopotea
"kuwarudisha wale waliokuwa wamefukuzwa mbali"
# funga kondoo aliyevunjika
"zungusha nguo kwa kondoo yeyote aliyevunjika mfupa"