sw_tn/ezk/34/11.md

40 lines
887 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendela kumptaia ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.
# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linatahadharisha wachungaji kuwa makini kwa habari ifutayo ya kushangaza.
# nitawatafuta
"nitawatafuta"
# ndani ya kundi lake lililotawanyika.
"pamoja na kundi lake"
# waliotawanyika
Kundi halipo sehemu moja. Kondoo na mbuzi wapo katika sehemu tofauti tofauti walipopotea na katika hatari.
# katika siku ya mawingu na giza
"katika siku ya wingu na siku ya giza." Hii inarejea wakati majanga mengi yatakapo tokea. "wakati majanga mabaya yatakapowatokea."
# warudishe
"rudisha kondoo na mbuzi wangu"
# kutoka miongoni mwa watu
"kutoka mahali ambapo walipoishi pamoja na watu wengine"
# malisho
nchi ambayo ina majani na mimea midogo ambayo kondoo na mbuzi wanaweza kula
# makazi
sehemu ambapo watu huishi. Siku zote wanaishi katika nyumba za makazi.