sw_tn/ezk/34/11.md

887 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendela kumptaia ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linatahadharisha wachungaji kuwa makini kwa habari ifutayo ya kushangaza.

nitawatafuta

"nitawatafuta"

ndani ya kundi lake lililotawanyika.

"pamoja na kundi lake"

waliotawanyika

Kundi halipo sehemu moja. Kondoo na mbuzi wapo katika sehemu tofauti tofauti walipopotea na katika hatari.

katika siku ya mawingu na giza

"katika siku ya wingu na siku ya giza." Hii inarejea wakati majanga mengi yatakapo tokea. "wakati majanga mabaya yatakapowatokea."

warudishe

"rudisha kondoo na mbuzi wangu"

kutoka miongoni mwa watu

"kutoka mahali ambapo walipoishi pamoja na watu wengine"

malisho

nchi ambayo ina majani na mimea midogo ambayo kondoo na mbuzi wanaweza kula

makazi

sehemu ambapo watu huishi. Siku zote wanaishi katika nyumba za makazi.