sw_tn/ezk/34/09.md

726 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.

Kwa hiyo, wachungaji, lisikilizeni neno la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:7.

Tazama!

Neno "Tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifutacho.

Niko juu ya wachungaji

"nitawaadhibu wachungaji."

nitalitaka kundi langu kutoka mkononi mwao

"nitawaadhibu kwa mambo yote mabaya waliyaacha kutokea kwa kundi langu."

nitawasitisha mbali na kuchunga kundi

"sitawaacha kulichunga kundi tena"

watajichunga wenyewe

"kujilisha na kujichunga wenyewe"

kutoka vinywani mwao

"hivyo hawataweza kuwala."

kundi langu halitakuwa chakula chao tena

"wachungaji hawatawala tena kondoo na mbuzi wa kundi langu"