sw_tn/ezk/34/09.md

36 lines
726 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.
# Kwa hiyo, wachungaji, lisikilizeni neno la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:7.
# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifutacho.
# Niko juu ya wachungaji
"nitawaadhibu wachungaji."
# nitalitaka kundi langu kutoka mkononi mwao
"nitawaadhibu kwa mambo yote mabaya waliyaacha kutokea kwa kundi langu."
# nitawasitisha mbali na kuchunga kundi
"sitawaacha kulichunga kundi tena"
# watajichunga wenyewe
"kujilisha na kujichunga wenyewe"
# kutoka vinywani mwao
"hivyo hawataweza kuwala."
# kundi langu halitakuwa chakula chao tena
"wachungaji hawatawala tena kondoo na mbuzi wa kundi langu"