sw_tn/ezk/33/25.md

32 lines
842 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu waliokuwa wakiishi katika uharibifu wa Israeli.
# Mmekula damu
Inaonekana kwamba wanakula damu kwa kula nyama ambayo bado inadamu ndani yake. "Manakula nyama yenye damu ndani yake."
# mmeziinulia macho yenu sanamu
"mnazitegemea sanamu zenu." Hii inamaanisha kwamba "mnaziabudu sana zenu"
# mnazimwagia damu za watu
"mnamwaga damu." Hii inamaanisha "mnawaua watu."
# Je! mna uhakika wa kuimiliki hii nchi?
Yahwe anatumia hili swali kuwaonya watu. "Hamtakiwi kumiliki hii nchi" au "Hamstahili hii nchi."
# Mnategemea upanga wenu
"Mmetumia upanga wenu kupata kile mnachokitegemea."
# mmetenda mambo maovu
"tenda mambo ambayo ninayoyachukia sana"
# kila mwanamume amemnajisi mke wa jirani yake
Inamaanisha kwamba wamewanajisi wake za majirani zao kwa kulala nao.