sw_tn/ezk/33/25.md

842 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu waliokuwa wakiishi katika uharibifu wa Israeli.

Mmekula damu

Inaonekana kwamba wanakula damu kwa kula nyama ambayo bado inadamu ndani yake. "Manakula nyama yenye damu ndani yake."

mmeziinulia macho yenu sanamu

"mnazitegemea sanamu zenu." Hii inamaanisha kwamba "mnaziabudu sana zenu"

mnazimwagia damu za watu

"mnamwaga damu." Hii inamaanisha "mnawaua watu."

Je! mna uhakika wa kuimiliki hii nchi?

Yahwe anatumia hili swali kuwaonya watu. "Hamtakiwi kumiliki hii nchi" au "Hamstahili hii nchi."

Mnategemea upanga wenu

"Mmetumia upanga wenu kupata kile mnachokitegemea."

mmetenda mambo maovu

"tenda mambo ambayo ninayoyachukia sana"

kila mwanamume amemnajisi mke wa jirani yake

Inamaanisha kwamba wamewanajisi wake za majirani zao kwa kulala nao.