sw_tn/ezk/32/31.md

607 B

Farao ataona

"Farao ataona maiti zote kutoka mataifa mengine."

na kupata faraja kuhusu watumishi wake

Inaonyesha kwamba Farao atafarijiwa kwa sababu maadui wa wafalme wengine wakubwa wamekufa pia.

ambao waliuawa kwa upanga

Tazama tafsiri yake katika sura ya 31:17.

hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

Natamuweka kama utiisho katika nchi ya walio hai

"Wakati Farao alipokuwa bado yupo hai, nilimruhusu kuwaogofya watu"

atakuwa amelala chini katikati yao wasiotahiriwa

Hapa "lala chini" inarejea kwa mwili wake kuwekwa katika kaburi wakati atakapokufa.