sw_tn/ezk/32/31.md

24 lines
607 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Farao ataona
"Farao ataona maiti zote kutoka mataifa mengine."
# na kupata faraja kuhusu watumishi wake
Inaonyesha kwamba Farao atafarijiwa kwa sababu maadui wa wafalme wengine wakubwa wamekufa pia.
# ambao waliuawa kwa upanga
Tazama tafsiri yake katika sura ya 31:17.
# hili ndilo tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# Natamuweka kama utiisho katika nchi ya walio hai
"Wakati Farao alipokuwa bado yupo hai, nilimruhusu kuwaogofya watu"
# atakuwa amelala chini katikati yao wasiotahiriwa
Hapa "lala chini" inarejea kwa mwili wake kuwekwa katika kaburi wakati atakapokufa.