sw_tn/ezk/32/26.md

587 B

Sentensi Unganishi

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu mataifa katika Sheoli.

watumishi wao wote

"jeshi lao lote" au "watu wao wote."

Makaburi yao yamewazunguka

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22, "kaburi lake limemzunguka."

Wote ... nchi ya uzima

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:24.

kinga yao imewekwa juu ya mifupa yao

Kutompenda mwingine asiyetahiriwa, Meshaki na watu wa Tubali walipewa mazishi yanayofaa.

Kwa kuwa walikuwa tishio kwa mashujaa katika nchi ya walio hai

"kwa sababu, wakati wakiwa bado hai, waliwafanya mashujaa kuogopa sana"