# Sentensi Unganishi Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu mataifa katika Sheoli. # watumishi wao wote "jeshi lao lote" au "watu wao wote." # Makaburi yao yamewazunguka Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:22, "kaburi lake limemzunguka." # Wote ... nchi ya uzima Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:24. # kinga yao imewekwa juu ya mifupa yao Kutompenda mwingine asiyetahiriwa, Meshaki na watu wa Tubali walipewa mazishi yanayofaa. # Kwa kuwa walikuwa tishio kwa mashujaa katika nchi ya walio hai "kwa sababu, wakati wakiwa bado hai, waliwafanya mashujaa kuogopa sana"