sw_tn/ezk/32/15.md

521 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kunena.

nchi iliyojaa

"nchi iliyojaa viumbe hai"

wakati nitakapo washambulia wenyeji wote

"wakati nitakapowaangamiza waishio huko"

jua ya kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura yha 6:6.

Kutakuwa na maombolezo

"Huu ni wimbo wa kuomboleza ambao watu wataimba"

binti za mataifa

"wanawake wa mataifa yote"

wataomboleza juu yake

Neno "yeye"linarejea kwa nchi ya Misri.

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.