sw_tn/ezk/32/15.md

32 lines
521 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kunena.
# nchi iliyojaa
"nchi iliyojaa viumbe hai"
# wakati nitakapo washambulia wenyeji wote
"wakati nitakapowaangamiza waishio huko"
# jua ya kwamba mimi ndimi Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura yha 6:6.
# Kutakuwa na maombolezo
"Huu ni wimbo wa kuomboleza ambao watu wataimba"
# binti za mataifa
"wanawake wa mataifa yote"
# wataomboleza juu yake
Neno "yeye"linarejea kwa nchi ya Misri.
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.