sw_tn/ezk/32/07.md

24 lines
568 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumwambia Farao atafanya nini juu ya Misri.
# Kisha wakati nitakapo izimisha taa yako
"Yahwe analinganisha jinsi atakavyo muangamiza Farao kwa jinsi atakavyoweka moto wa taa. "Wakati nitakapokuharibu"
# nitazifunika mbingu
Yahwe ataifunika anga ili kwamba watu wa nchi hawawezi kuona mwanga wa nyota, jua na mwezi.
# giza na nyota zake
"nitazifanya nyota giza." Hakutakuwa na nuru.
# nitaweka giza juu ya nchi
"nitalifanya giza katika nchi yako"
# hili ni tangazo la Bwana Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.