sw_tn/ezk/32/07.md

568 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumwambia Farao atafanya nini juu ya Misri.

Kisha wakati nitakapo izimisha taa yako

"Yahwe analinganisha jinsi atakavyo muangamiza Farao kwa jinsi atakavyoweka moto wa taa. "Wakati nitakapokuharibu"

nitazifunika mbingu

Yahwe ataifunika anga ili kwamba watu wa nchi hawawezi kuona mwanga wa nyota, jua na mwezi.

giza na nyota zake

"nitazifanya nyota giza." Hakutakuwa na nuru.

nitaweka giza juu ya nchi

"nitalifanya giza katika nchi yako"

hili ni tangazo la Bwana Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.