sw_tn/ezk/32/05.md

16 lines
343 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Farao na kumlinganisha na dubwana liishilo ndani ya maji.
# funza wako waliokufa
"mwili wako uliokufa"
# Kisha nitamwaga damu yako juu ya milima
"nitaifurika nchi damu kwa damu moja kwa moja hata kwenye milima."
# vitanda vya kijito vitajazwa kwa damu yako
"nitaijaza mito kwa damu yako"