sw_tn/ezk/32/05.md

343 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Farao na kumlinganisha na dubwana liishilo ndani ya maji.

funza wako waliokufa

"mwili wako uliokufa"

Kisha nitamwaga damu yako juu ya milima

"nitaifurika nchi damu kwa damu moja kwa moja hata kwenye milima."

vitanda vya kijito vitajazwa kwa damu yako

"nitaijaza mito kwa damu yako"