sw_tn/ezk/31/13.md

795 B

Maelezo ya Jumla:

fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.

Ndege wote wa angani

"Ndege wote warukao angani"

wakapumzika juu ya shina lake

"wakaishi juu ya mkangazi uliosalia"

shina

ni sehemu nene sana ya mti ambao hutoka aridhini na kuzishikilia sehemu nyingine za mtu.

wanyama wa shambani atakuja kwenye matawi yake

"wanyama pori waliishi katika matawi ya mkangazi"

mwagilia maji

"miti ipatayo maji mengi"

hakuna mti mwingine utakayomea karibu na maji itakayofikia kwenye huo urefu

"na hakuna miti mingine ambayo itapata maji mengi itarefuka huo urefu ttena"

chini kabisa hata kwenye nchi

"na nimeufanya ili waende chini ya aridhi."

katikati ya watu wa mwanadamu aliyeenda chini hata kwenye shimo

"kuwa na hao watu waliokufa na kwenda chini kwenye kaburi"