sw_tn/ezk/31/13.md

36 lines
795 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
fumbo la Yahwe kuhusu mkangazi linaendelea.
# Ndege wote wa angani
"Ndege wote warukao angani"
# wakapumzika juu ya shina lake
"wakaishi juu ya mkangazi uliosalia"
# shina
ni sehemu nene sana ya mti ambao hutoka aridhini na kuzishikilia sehemu nyingine za mtu.
# wanyama wa shambani atakuja kwenye matawi yake
"wanyama pori waliishi katika matawi ya mkangazi"
# mwagilia maji
"miti ipatayo maji mengi"
# hakuna mti mwingine utakayomea karibu na maji itakayofikia kwenye huo urefu
"na hakuna miti mingine ambayo itapata maji mengi itarefuka huo urefu ttena"
# chini kabisa hata kwenye nchi
"na nimeufanya ili waende chini ya aridhi."
# katikati ya watu wa mwanadamu aliyeenda chini hata kwenye shimo
"kuwa na hao watu waliokufa na kwenda chini kwenye kaburi"