sw_tn/ezk/31/05.md

32 lines
855 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Fumbo la Yahwe kuhusu mwerezi linaendelea.
# Kimo chake kikubwa kilikuwa zaidi kuliko miti mingine yote katika shamba
"Mwerezi ulikuwa mrefu kuliko miti mingine yote ya shambani"
# matawi yake yakawa mengi
"ulimea matawi mengi sana"
# kwa sababu ya maji mengi ilimea
"kwa sababu ulikuwa na maji mengi"
# Kila ndege wa mbinguni alitengeza kiota kwenye matawi yake
"Iina zote za ndege warukao angani walitengeza viota katika matawi yake"
# wakati kila kiumbe hai cha shambani kilizaa mtoto chini ya tawi
"na viumbe vyote viishivyo katika shamba walizaa chini yamatawi ya mwerezi"
# Mataifa mengi yote yaliishi chini ya kivuli chake
"mataifa yote yenye nguvu yaliishi katikakivuli chake"
# ulikuwa uzuri katika ukuu wake na kimo cha matawi yake
"Ulikuwa mzuri kwa sababu ulikuwa mkubwa na matawi yake yalikuwa marefu sana"