sw_tn/ezk/31/05.md

855 B

Maelezo ya Jumla:

Fumbo la Yahwe kuhusu mwerezi linaendelea.

Kimo chake kikubwa kilikuwa zaidi kuliko miti mingine yote katika shamba

"Mwerezi ulikuwa mrefu kuliko miti mingine yote ya shambani"

matawi yake yakawa mengi

"ulimea matawi mengi sana"

kwa sababu ya maji mengi ilimea

"kwa sababu ulikuwa na maji mengi"

Kila ndege wa mbinguni alitengeza kiota kwenye matawi yake

"Iina zote za ndege warukao angani walitengeza viota katika matawi yake"

wakati kila kiumbe hai cha shambani kilizaa mtoto chini ya tawi

"na viumbe vyote viishivyo katika shamba walizaa chini yamatawi ya mwerezi"

Mataifa mengi yote yaliishi chini ya kivuli chake

"mataifa yote yenye nguvu yaliishi katikakivuli chake"

ulikuwa uzuri katika ukuu wake na kimo cha matawi yake

"Ulikuwa mzuri kwa sababu ulikuwa mkubwa na matawi yake yalikuwa marefu sana"