sw_tn/ezk/31/01.md

580 B

ikawa

Hili neno limetumika hapa kuonyesha mwanza wa sehemu nyingine ya hadithi.

katika mwaka wa kumi na moja

Tazama tafsiri yake katika sura ya 26:1.

katika tatu ya mwezi, siku ya tatu ya mwezi

"katika siku ya kwanza ya mwezi wa tatu."

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

Katika ukuu wako, wewe ni kama nani?

"Ni nani aliye mkuu kama wewe?" Yahwe anatumia hili swali kutambulisha mada mpya. Farao alifikiri kwamba taifa lake lilikuwa kubwa zaidi, lakini Mungu anataka kuzungumzia taifa jingine.