sw_tn/ezk/30/25.md

642 B

5Kwa kuwa nitainyoosha mikono ya mfalme wa Babeli

"nitaufanya mikono imara ya mfalme wa Babeli."

wakati mkono wa Farao utakapoanguka

"lakini Farao hataweza kutumia mikono yake" au "mikono ya Farao itakuwa dhaifu kwamba hataweza kuitumia"

Kisha wata

Neno "wao" "Wamisri" au "watu wote wasikiao kile Yahwe alichokifanya."

jua kwamba mimi ndimi Yahwe

tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

kwa kuwa ataishambulia nchi ya Misri kwa huo

"na mfalme wa Babeli ataishambulia nchi ya Misri pamoja na upanga"

nitaitawanya miongoni mwa mataifa na kuyatawanya kwenye nchi tofauti tofauti

Tazama tafsiri yake katika sura ya 20:23.