sw_tn/ezk/30/25.md

24 lines
642 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# 5Kwa kuwa nitainyoosha mikono ya mfalme wa Babeli
"nitaufanya mikono imara ya mfalme wa Babeli."
# wakati mkono wa Farao utakapoanguka
"lakini Farao hataweza kutumia mikono yake" au "mikono ya Farao itakuwa dhaifu kwamba hataweza kuitumia"
# Kisha wata
Neno "wao" "Wamisri" au "watu wote wasikiao kile Yahwe alichokifanya."
# jua kwamba mimi ndimi Yahwe
tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.
# kwa kuwa ataishambulia nchi ya Misri kwa huo
"na mfalme wa Babeli ataishambulia nchi ya Misri pamoja na upanga"
# nitaitawanya miongoni mwa mataifa na kuyatawanya kwenye nchi tofauti tofauti
Tazama tafsiri yake katika sura ya 20:23.