sw_tn/ezk/30/17.md

390 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.

Heliopolisi na Pi-besethi

Hii ilikuwa miji katika upande wa kaskazini mwa Misri.

ataanguka kwa upanga

Neno "upanga" limetumika kurejea kwa mapambano au vita" au "watakufa kwa upanga."

miji yao itakwenda kwenye utumwa

"watu wa miji yao watakuwa mateka"

Tapanesi

Huu ulikuwa mji wa muhimu katika kaskazini mwa Misri.