# Maelezo ya Jumla: Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri. # Heliopolisi na Pi-besethi Hii ilikuwa miji katika upande wa kaskazini mwa Misri. # ataanguka kwa upanga Neno "upanga" limetumika kurejea kwa mapambano au vita" au "watakufa kwa upanga." # miji yao itakwenda kwenye utumwa "watu wa miji yao watakuwa mateka" # Tapanesi Huu ulikuwa mji wa muhimu katika kaskazini mwa Misri.