sw_tn/ezk/30/13.md

612 B

Bwana Yahwe asema hivi

Tazama tafsri yake katika sura ya 5:5.

nitaleta mwisho wa sanamu za ubatili

"angamiza sanamu zisizo na maana"

Memfizi

Memfizi ulikuwa mji muhimu sana katika Misri. Ulikuwa karibu na Kairo ya mpya.

mwana mfalme katika nchi ya Misri

"mtawala muhimu katika nchi ya Misri"

nitaweka hofu katika nchi ya Misri

"nitawafanya watu wa Misri kuogopa sana"

Pathrosi

Huu ulikuwa mkoa katika kusini mwa Misri.

kuweka moto katika Soani,

"nitaichoma Soani kwa moto"

Soani

Soani ulikuwa mji mwingine muhimu katika Misri.

Thebesi

Huu ulikuwa mji mkuu wa kusini mwa Misri.