# Bwana Yahwe asema hivi Tazama tafsri yake katika sura ya 5:5. # nitaleta mwisho wa sanamu za ubatili "angamiza sanamu zisizo na maana" # Memfizi Memfizi ulikuwa mji muhimu sana katika Misri. Ulikuwa karibu na Kairo ya mpya. # mwana mfalme katika nchi ya Misri "mtawala muhimu katika nchi ya Misri" # nitaweka hofu katika nchi ya Misri "nitawafanya watu wa Misri kuogopa sana" # Pathrosi Huu ulikuwa mkoa katika kusini mwa Misri. # kuweka moto katika Soani, "nitaichoma Soani kwa moto" # Soani Soani ulikuwa mji mwingine muhimu katika Misri. # Thebesi Huu ulikuwa mji mkuu wa kusini mwa Misri.