sw_tn/ezk/30/12.md

462 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.

Nitaifanya mito kuwa nchi kavu

"Nitaikausha mito ya Misri"

nitaiuza nchi kwenye mkono wa watu waovu

Yahwe atawapatia Wababeli kutawala juu ya Misri kama mtu auzaye kitu kumpatia yule akununuaye kukitawala hicho kitu.

Nitaifanya nchi na viijazavyo ukiwa kwa mkono wa wageni

"Nitawafanya watu kutoka taifa jingine kuiharibu nchi na kila kitu ndani yake"

viijazavyo

"kila kitu katika nchi"