sw_tn/ezk/30/12.md

20 lines
462 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Haya ni maneno ya Yahwe kuhusu Misri.
# Nitaifanya mito kuwa nchi kavu
"Nitaikausha mito ya Misri"
# nitaiuza nchi kwenye mkono wa watu waovu
Yahwe atawapatia Wababeli kutawala juu ya Misri kama mtu auzaye kitu kumpatia yule akununuaye kukitawala hicho kitu.
# Nitaifanya nchi na viijazavyo ukiwa kwa mkono wa wageni
"Nitawafanya watu kutoka taifa jingine kuiharibu nchi na kila kitu ndani yake"
# viijazavyo
"kila kitu katika nchi"