sw_tn/ezk/30/01.md

36 lines
700 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anaeleza kuhusu ujumbe ambao Yahwe alio mpatia.
# Neno la Yahwe likja
"Yahwe akanena neno lake."
# Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
# Maombolezo
"Lia kwa huzuni" Hii amri ni kwa Misri na mataifa yanayoizunguka Misri.
# Ole inakuja siku hiyo
"Hiyo siku itakuwa chungu sana" au "Mambo mabaya yatatokea siku hiyo"
# Siku i karibu
Inaonyesha "hiyo siku" ilikuwa mda wakati watu wataomboleza.
# Siku ikaribu kwa ajili ya Yahwe. Itakuwa
Hii inaonyesha kwamba siku hiyo, Yahwe atawaadhibu watu.
# siku ya mawingu
"Itakuwa kama siku yenye giza la mawingu"
# mda wa hukumu kwa ajili ya mataifa
"mda wakati mambo mabaya yatakapotokea kwa mataifa"