sw_tn/ezk/30/01.md

700 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaeleza kuhusu ujumbe ambao Yahwe alio mpatia.

Neno la Yahwe likja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

Maombolezo

"Lia kwa huzuni" Hii amri ni kwa Misri na mataifa yanayoizunguka Misri.

Ole inakuja siku hiyo

"Hiyo siku itakuwa chungu sana" au "Mambo mabaya yatatokea siku hiyo"

Siku i karibu

Inaonyesha "hiyo siku" ilikuwa mda wakati watu wataomboleza.

Siku ikaribu kwa ajili ya Yahwe. Itakuwa

Hii inaonyesha kwamba siku hiyo, Yahwe atawaadhibu watu.

siku ya mawingu

"Itakuwa kama siku yenye giza la mawingu"

mda wa hukumu kwa ajili ya mataifa

"mda wakati mambo mabaya yatakapotokea kwa mataifa"