forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
521 B
Markdown
16 lines
521 B
Markdown
# Tazama!
|
|
|
|
"Tazama!" au "Sikia!"
|
|
|
|
# nitayainua mataifa mengi juu yako kama bahari iiunuavyo mawimbi yake
|
|
|
|
Hapa neno "mataifa" inarejea kwa majeshi yao. "nitalikusanya jeshi kutoka mataifa ambayo ni makubwa na nguvu kama mawimbi katika bahari ya kitambaa."
|
|
|
|
# minara
|
|
|
|
Mnara ni jengo refu lilitumika kuona kwa ajili maadui au kuficha ndani.
|
|
|
|
# Nitafagia mavumbi yake mbali na kumfanya kama jiwe tupu
|
|
|
|
"nitalifanya jeshi kuuharibu mji kabisa, na hawatakuwa na kitu hapa hivyo utakuwa kama jiwe ambalo halina kitu juu yake."
|