sw_tn/ezk/26/03.md

521 B

Tazama!

"Tazama!" au "Sikia!"

nitayainua mataifa mengi juu yako kama bahari iiunuavyo mawimbi yake

Hapa neno "mataifa" inarejea kwa majeshi yao. "nitalikusanya jeshi kutoka mataifa ambayo ni makubwa na nguvu kama mawimbi katika bahari ya kitambaa."

minara

Mnara ni jengo refu lilitumika kuona kwa ajili maadui au kuficha ndani.

Nitafagia mavumbi yake mbali na kumfanya kama jiwe tupu

"nitalifanya jeshi kuuharibu mji kabisa, na hawatakuwa na kitu hapa hivyo utakuwa kama jiwe ambalo halina kitu juu yake."