sw_tn/ezk/26/01.md

844 B

katika mwaka wa kumi na moja

"katika mwaka wa kumi na moja ya uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"

katika siku ya kwanza ya mwezi

Haijulikani ni mwezi gani wa kalenda ya Kiebrania Ezekieli alio umaanisha.

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsiri yake katika 2:1.

Tire alisema juu ya Yerusalemu

"watu wa Tire wamesema juu ya watu wa Yerusalemu."

Enhe!

"Ndiyo!" au "vizuri sana!"

Malango ya watu yamevunjwa

Watu wa Tire wanatumia haya maneno kurejea kwa Yerusalemu kana kwamba ilikuwa lango la mji ambalo wafanya biashara walipitia kutoka mataifa yaliyozunguka yalipitia.

Amenigeukia

Hapa neno "yeye" inarejea kwa neno "malango" ambayo "imegeuka" juu ya bawaba kufungua kwenda Tire.

nitajazwa

Hapa "kujazwa" inamaanisha kustawi. "nitafanikiwa"

ameharibiwa

"Yerusalemu imeharibiwa"