# katika mwaka wa kumi na moja "katika mwaka wa kumi na moja ya uhamisho wa Mfalme Yehoyakini" # katika siku ya kwanza ya mwezi Haijulikani ni mwezi gani wa kalenda ya Kiebrania Ezekieli alio umaanisha. # neno la Yahwe likaja "Yahwe alinena neno lake." # Mwanadamu Tazama tafsiri yake katika 2:1. # Tire alisema juu ya Yerusalemu "watu wa Tire wamesema juu ya watu wa Yerusalemu." # Enhe! "Ndiyo!" au "vizuri sana!" # Malango ya watu yamevunjwa Watu wa Tire wanatumia haya maneno kurejea kwa Yerusalemu kana kwamba ilikuwa lango la mji ambalo wafanya biashara walipitia kutoka mataifa yaliyozunguka yalipitia. # Amenigeukia Hapa neno "yeye" inarejea kwa neno "malango" ambayo "imegeuka" juu ya bawaba kufungua kwenda Tire. # nitajazwa Hapa "kujazwa" inamaanisha kustawi. "nitafanikiwa" # ameharibiwa "Yerusalemu imeharibiwa"