sw_tn/ezk/25/15.md

503 B

Wafilisti wamelipiza kisasi pamoja na uovu na kutoka ndani yao wamejaribu kuiharibu Yuda tena na tena

"Kwa sababu Wafilisti waliwachukia watu katika Yuda na kujaribu kulipa kisasi juu yao na tena"

Tazama!

"Tazama!" au "Sikia!"

Nitanyoosha mkono wangu dhidi ya Wafilisti

"nitaurudisha mkono wangu wa uweza juu ya Wafilisti"

nitakatilia

"nitaangamiza"

Wakerethi

"Watu wa Kerethi." Hawa ni watu walioishi katika Filisti

watajua yakwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.