forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
503 B
Markdown
24 lines
503 B
Markdown
|
# Wafilisti wamelipiza kisasi pamoja na uovu na kutoka ndani yao wamejaribu kuiharibu Yuda tena na tena
|
||
|
|
||
|
"Kwa sababu Wafilisti waliwachukia watu katika Yuda na kujaribu kulipa kisasi juu yao na tena"
|
||
|
|
||
|
# Tazama!
|
||
|
|
||
|
"Tazama!" au "Sikia!"
|
||
|
|
||
|
# Nitanyoosha mkono wangu dhidi ya Wafilisti
|
||
|
|
||
|
"nitaurudisha mkono wangu wa uweza juu ya Wafilisti"
|
||
|
|
||
|
# nitakatilia
|
||
|
|
||
|
"nitaangamiza"
|
||
|
|
||
|
# Wakerethi
|
||
|
|
||
|
"Watu wa Kerethi." Hawa ni watu walioishi katika Filisti
|
||
|
|
||
|
# watajua yakwamba mimi ni Yahwe
|
||
|
|
||
|
Tazama tafsiri yake katika 6:6.
|