sw_tn/ezk/25/08.md

24 lines
681 B
Markdown

# tazama!
"Ona!" au "sikia!"
# ntafungua miinuko ya Moabu, kuanzia kwenye miji yake juu ya mpaka
"nitaifungua njia ya kwenda Moabu kwa kuiangamiza miji juu ya mpaka wake."
# uzuri wa Beth Yeshimothi, Baal Meoni, na Kiriathaimu
"nitaanza na miji mikubwa ya Beth Yeshimothi, Baali Meoni, na Kiriathaimu."
# kwa watu wa mashariki waliokuwa juu ya watu wa Amoni
"nitatuma jeshi lile lile kutoka mataifa katika mashariki aliyeiteka Amoni."
# Nitawapatia kama milki ili kwamba watu wa Amoni hawatakumbukwa miongoni mwa mataifa
"nitayafanya majeshi kuishinda Amoni ili kwamba pasiwe na mtu hata wa kuwakumbuka."
# watajua yakwamba mimi ni Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 6:6.