sw_tn/ezk/25/08.md

681 B

tazama!

"Ona!" au "sikia!"

ntafungua miinuko ya Moabu, kuanzia kwenye miji yake juu ya mpaka

"nitaifungua njia ya kwenda Moabu kwa kuiangamiza miji juu ya mpaka wake."

uzuri wa Beth Yeshimothi, Baal Meoni, na Kiriathaimu

"nitaanza na miji mikubwa ya Beth Yeshimothi, Baali Meoni, na Kiriathaimu."

kwa watu wa mashariki waliokuwa juu ya watu wa Amoni

"nitatuma jeshi lile lile kutoka mataifa katika mashariki aliyeiteka Amoni."

Nitawapatia kama milki ili kwamba watu wa Amoni hawatakumbukwa miongoni mwa mataifa

"nitayafanya majeshi kuishinda Amoni ili kwamba pasiwe na mtu hata wa kuwakumbuka."

watajua yakwamba mimi ni Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 6:6.