sw_tn/ezk/24/25.md

493 B

mkimbizi

mtu aliyelazimishwa kuondoka kwenye nchi yao kwa sababu ya vita au janga jingine.

kinywa chako kitafunuliwa

"Yahwe atafunua kinywa chako" Hii inaelezea mtu kueleweshwa na uwezo wa kuzungumza kuhusu kitu.

utaongea-hutakuwa bubu tena

Haya maneno yote yanamaanisha watu wa Israeli watazungumza. Inasema tena kama hasi kusisitiza chanya.

itakuwa ishara

Hii inarejea kwa watu wa Israeli kama ishara kwa sababu watawasaidia wakimbizi kuelewa kwa nini Yerusalemu iliharibiwa.